Invitation to a Stakeholder Feedback Round for Tanzanian Gold Standard Voluntary Project Activities (VPAs) under the Gold Standard PoA: “ECC_Multi-country Electric Clean Cooking Programme.

ECOA Climate Capital (“ECC’’) inatekeleza Shughuli za Mradi wa Carbon nchini Tanzania chini ya Mpango wa Shughuli za Gold Standard- PoA: “ECC_Multi-country Electric Clean Cooking Programme’. Mnamo tarehe 6 hadi 11 Octoba 2023, ECOA ilialika washikadau kwenye mikutano ya washikadau wa ndani (LSC) huko Dar Es Salaam( Jamirex Hotel),Pwani( KCC Hotels) na Mbeya( Mdope Idde- Hotel) ambapo mradi na athari zake zilielezewa kwa kina,na maoni yaliombwa kutoka kwa washiriki.
ecoa burn manufacturing cookstove

Ndugu Mdau,

Natumai barua pepe hii itakupata vyema.

ECOA Climate Capital (“ECC’’) inatekeleza Shughuli za Mradi wa Carbon nchini Tanzania chini ya Mpango wa Shughuli za Gold Standard- PoA: “ECC_Multi-country Electric Clean Cooking Programme’. Mnamo tarehe 6 hadi 11 Octoba 2023, ECOA ilialika washikadau kwenye mikutano ya washikadau wa ndani (LSC) huko Dar Es Salaam( Jamirex Hotel),Pwani( KCC Hotels) na Mbeya( Mdope Idde- Hotel) ambapo mradi na athari zake zilielezewa kwa kina,na maoni yaliombwa kutoka kwa washiriki.

Hii ni kukualika wewe mdau wetu mheshimiwa, kutoa maoni zaidi kuhusu huu mradi kwa hiki kipindi cha Maoni ya Wadau.

Tafadhali tafuta Muhtasari Usio wa Kiufundi na Ripoti ya Muhtasari wa Wadau wa Ndani (English na Kiswahili) iliyoambatishwa kwa ukaguzi wako. Tafadhali tujulishe ikiwa una maoni au maoni yoyote zaidi.

Hati hizi pia zinaweza kupatikana kwenye Ofisi za Burn Dar es Salaam:

  • Burn Manufacturing, Warehouse No. 1, Kawe Beach, Mwai Kibaki Road, Dar Es Salaam

Tafadhali tutumie maoni yako kabla ya tarehe 20 Decemba ,2023 kwa: peninah.mwende@burnmfg.com au elisha.tengeni@burnmfg.com au Piga 0754-711-191

Dear Stakeholder,

I hope this email finds you well. 

ECOA Climate Capital (“ECC’’) is implementing Carbon Project Activities in Tanzania under the Gold Standard Programme of Activities PoA: “ECC_Multi-country Electric Clean Cooking Programme’. On the 6th to 11th of October 2023, ECOA invited stakeholders to the local stakeholder (LSC) meetings in Dar Es Salaam (Jamirex Hotel), Pwani(KCC Hotels), and Mbeya( Mdope Idde- Hotel) where the project and its impacts were introduced, and comments and feedback sought from participants.

This is to invite you our esteemed stakeholder, to the Gold Standard Stakeholder Feedback Round of the project. Please find attached the Non-Technical  Summary and Local Stakeholders Summary Report in English and Swahili) for your review. Kindly let us know if you have any further comments or feedback.

These documents can also be found on our Burn Offices at:

  • Burn Manufacturing, Warehouse No. 1, Kawe Beach, Mwai Kibaki Road, Dar Es Salaam

Please send us your feedback by 20th December,2023 to:  Peninah.mwende@burnmfg.com or Elisha.tengeni@burnmfg.com or call Call 0754-711-191

Kenya

BURN Headquarters, Nairobi, Kenya

Location Map
Other markets

Nigeria office: Plot 5,
Etal Avenue, off Kudirat Abiola way,
Oregun Lagos.
© 2023 BURN. All Rights Reserved. 2.0.0Privacy Policy