Newsroom
Mwaliko wa Kushiriki katika Mrejesho wa Maoni ya Wadau kwa Shughuli za Mradi wa Hiari wa Gold Standard Carbon (VPAs) ‘Upikaji Bora na Safi kwa kaya nchini Tanzania’
Mwaliko wa Kushiriki katika Mrejesho wa Maoni ya Wadau kwa Shughuli za Mradi wa Hiari wa Gold Standard Carbon (VPAs) ‘Upikaji Bora na Safi kwa kaya nchini Tanzania’

Ndugu Mdau,
Mwaliko wa Kushiriki katika Mrejesho wa Maoni ya Wadau kwa Shughuli za Mradi wa Hiari wa Gold Standard Carbon (VPAs) ‘Upikaji Bora na Safi kwa kaya nchini Tanzania’
 
Kampuni ya BURN Manufacturing Co. inatekeleza Shughuli za Mradi wa Hiari wa Carbon nchini Tanzania chini ya Mpango wa Shughuli za Gold Standard Program (POA) ECOA_BURN Mpango wa Upikaji Safi wa Nchi Mbalimbali’. Mnamo tarehe 14 hadi 18 Machi 2022, BURN iliwaalika wadau kwenye mikutano ya wadau wa mitaa (LSC) mjini Dodoma, Usangi – Mwanga na Meru- Arusha ambapo mradi na athari zake uliwasilishwa, kuomba maoni  kutoka kwa washiriki.
 
Hii ni kukualika wewe mdau wetu katika Awamu ya Mrejesho wa  Maoni ya Wadau wa Mradi wa Gold Standard.
 
Tafadhali jipatie Muhtasari Usio wa Kiufundi ulioambatanishwa kwa Kiingereza na Swahili, Ripoti ya Ushauri ya Wadau wa Ndani kiungo kwenye ripoti ya LSC ya Tanzania na muhtasari wa Ushauri wa Wadau wa Ndani kwa Kiungo kwa muhtasari kwa Kiingereza na kiungo cha muhtasari kwa Kiswahili kwa uhakiki wako.
 
Tafadhali tujulishe ikiwa una ushauri au maoni yoyote zaidi. Taarifa hizi pia zinaweza kupatikana katika Maeneo yafuatayo:
 
 
Rafiki Dodoma Hotel
1259 Dodoma, TZ
 
Mhako Hostel and Restaurant
Usangi- Mwanga District
 
 
Sharondi Bliss- Ulong’a
Meru- Arusha
 
Gilbert Solar Energy
Sakina Kwa Idd
Arusha
 
Au tupigie kwa nambari: +255 743 931 870. Tafadhali tutumie maoni yako kabla ya tarehe 6 Juni 2022 kwa
 
Ofisa wa Kaboni: Peninah.mwende@burnmfg.com
Burn: tanzania@burnmfg.com
Burn: info@burnmfg.com
 
 
Dear Stakeholder.
 
Invitation to Participate in Stakeholder Feedback Round for Gold Standard Carbon Voluntary Project Activities (VPAs) ‘Efficient and Clean Cooking for households in Tanzania‘
 
 
BURN Manufacturing Co. is implementing Carbon Voluntary Project activities in Tanzania under Gold Standard Programme of Activities (PoA), ‘ECOA_BURN multi-country Clean Cooking Programme’. On the 14th to 18th March 2022, BURN invited stakeholders to the local stakeholder (LSC) meetings where the project and its impacts were introduced, and comments and feedback sought from participants.
 
This is to invite you our esteemed stakeholder to the Gold Standard Stakeholder Feedback Round of the project. Please find attached the Non-Technical Summary (in English) and ( Swahili), Local stakeholder Consultative Report  Tanzania LSC report and the Local Stakeholder Consultative summary in English and in Swahili for your review. 
 
Kindly let us know if you have any further comments or feedback. These documents can also be found at the following Locations:
 
Rafiki Dodoma Hotel
1259 Dodoma, TZ
 
Mhako Hostel and Restaurant
Usangi- Mwanga District
 
 
Sharondi Bliss- Ulong’a
Meru- Arusha
 
Gilbert Solar Energy
Sakina Kwa Idd
Arusha
 
Or call us on this number +255 743 931 870. Please send us your feedback by 6th June 2022 to 
 
Carbon Officer: Peninah.mwende@burnmfg.com
BURN: info@burnmfg.com
BURN Tanzania:  tanzania@burnmfg.com

BURN's Newsletter Sign Up