Newsroom
Ushauri wa Wadau wa Ndani wa Shughuli za Mradi wa Kujitolea wa Gold Standard Carbon Voluntary Project Activities (VPAs) ‘Upikaji Bora na Safi kwa kaya nchini Tanzania’
Ushauri wa Wadau wa Ndani wa Shughuli za Mradi wa Kujitolea wa Gold Standard Carbon Voluntary Project Activities (VPAs) ‘Upikaji Bora na Safi kwa kaya nchini Tanzania’

Ndugu Mdau,

BURN Manufacturing Co. wakifanya kazi na Gilbert Solar Energy watatekeleza shughuli za Mradi wa Hiari (‘VPAs) chini ya Mpango wa Gold Standard Programme of Activities (PoA), ‘ECOA_BURN Programu ya upishi safi na bora, nchi mbali mbali’ katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

PoA inasimamiwa na BURN Manufacturing Co. Katika muktadha huu Mkutano wa kupata Ushauri wa Umma wa Wadau wa Mitaa utafanyika kwa wadau wote wa ndani, walioathirika na watakaopendelea, pamoja na mashirika yasiyo ya kiserikali, vikundi vya wanawake, taasisi za utafiti na mashirika/watu binafsi wanaoshughulikia mada zinazohusiana na shughuli za mradi, watunga sera katika ngazi ya Kitaifa na jimbo na vile vile kwa watu wa ndani, jamii na wawakilishi ambao wameathiriwa moja kwa moja au isivyo moja kwa moja na mradi.

BURN Manufacturing Co. (Ofisi ya Kuratibu na Kusimamia Mradi wa PoA) inawaalika wahusika wote kuhudhuria mojawapo ya mikutano ifuatayo ya Mashauriano ya Wadau wa Mitaa:

14th March 2022,

Saa 2:30 asubuhi (8:00am) mpaka saa 7:00 mchana (1:00pm)

Mhako Hostel &Restaurant - Usangi, Kilimanjaro

16th March 2022,

Saa 2:30 asubuhi (8:00am) mpaka saa 7:00 mchana (1:00pm),

Sharondi Bliss- Ulong’a Meru, Arusha

18th March 2022,

Saa 2:30 asubuhi(8:00am) mpaka saa 7:00 mchana (1:00pm)

Rafiki Dodoma Hotel, Dodoma

Wadau ambao hawawezi kuhudhuria mkutano huo kwa kufika ukumbini, wana uwezekano wa kushiriki mtandaoni kupitia Zoom. Maelezo ya kuhudhuria kupitia mtandao ni haya yafuatayo:

March 14th, Kiungo: https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZAlduqqqz4iGtKqP6ocCWQBtROgeFUzUey7

March 16th, Kiungo: https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZwkc-upqjgqGNRkJlssA8EVjpJTQR1AEuUL

March 18th, Kiungo:  https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZwtd-GsqTwiG9NoJ2VX7n39i2krJHS8KfGs

 

Tafadhali ona kiambatanisho cha muhtasari Usio wa Kiufundi wa mradi ulioambatishwa.

Iwapo kuna maswali yoyote au ukitaka maelezo zaidi na maelezo ya mradi kabla ya mashauriano, tafadhali andika Barua pepe kwa Peninah Mwende Afisa Kaboni,

BURN (peninah.mwende@burnmfg.com).

Tafadhali tumia mawasiliano hayo pia kwa kutoa maoni yako iwapo hutaweza kushiriki katika mkutano wa wadau.

 

RATIBA

 • Mapokezi/ Kuwasili – Orodha ya washiriki wanaotia Saini (2:30 asubuhi – (8:00 am)
 • Utangulizi na wasilisho la mradi (3:30 asubuhi (9:00am)
 • Maswali na maoni kuhusu mradi (3:30 asubuhi (9:30am)
 • Tathmini ya kanuni za ulinzi za mradi (4:30 asubuhi (10:30am)
 • Tathmini ya uendelevu wa mradi (5:15 asubuhi (11:15am)
 • Majadiliano kuhusu utaratibu wa malalamiko na ufuatiliaji wa athari za maendeleo endelevu (6:15 Mchana (12:15pm)
 • Fomu za tathmini na kufungwa kwa mkutano (6:30 Mchana (12:30pm)
 • Onyesho la kupikia (6:45 mchana (12:45pm)
 • Chakula cha mchana (7:00 mchana (1:00pm)

 

Local Stakeholder Consultation for Gold Standard Carbon Voluntary Project Activities (VPAs) ‘Efficient and Clean Cooking for households in Tanzania‘

Dear Stakeholder,

BURN Manufacturing Co. working with Gilbert Solar Energy will implement Voluntary Project activities (‘VPAs) under the Gold Standard Programme of Activities (PoA), ‘ECOA_BURN multi-country Clean Cooking Programme’ in the United Republic of Tanzania. The PoA is managed by BURN Manufacturing Co. In this context a Local Stakeholder Public Consultation will be carried out for all local, affected and interested stakeholders, including non-governmental organizations, women groups, research institutes and organizations/individuals working on topics related to the project activity, policy makers on a national and state level as well as for local people, communities and or representatives who are directly or indirectly affected by the project. BURN Manufacturing Co. (Coordinating and Managing Entity of the PoA) invites all interested parties to attend one of the following Local Stakeholder Consultation meetings:

 

14th March 2022, 8:30 am to 13:00 pm in Kilimanjaro

Mhako Hostel & Restaurant, Usangi- Moshi

16th March 2022, 8:30 am to 13:00 pm in Arusha

Sharondi Bliss- Ulong’a Meru

18th March 2022 8:30 am to 13:00 pm in Dodoma

Rafiki Dodoma Hotel- Dodoma

Stakeholders who cannot physically attend the meeting, have the possibility to participate online through Zoom. The login details are the following:

March 14th  Link: https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZAlduqqqz4iGtKqP6ocCWQBtROgeFUzUey7

March 16th Link: https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZwkc-upqjgqGNRkJlssA8EVjpJTQR1AEuUL

March 18th Link: https://us02web.zoom.us/meeting/register/tZwtd-GsqTwiG9NoJ2VX7n39i2krJHS8KfGs

Please find attached a Non-Technical Summary of the project.

In case of any questions or if you want further details and project information prior to the consultation, please write an Email to Peninah Mwende Carbon Officer at BURN (peninah.mwende@burnmfg.com)

Please use these contact details also for providing your feedback in case you are not able to participate in the stakeholder meeting.

AGENDA

 • Reception – Signing participants list (8:30 am)
 • Introduction & Project presentation (9:00 am)
 • Questions and comments on the project (9:30 am)
 • Safeguarding Principles Assessment of the project (10:30 am)
 • Sustainability assessment of the project (11:15 am)
 • Discussion on grievance mechanism and monitoring of sustainable development impacts (12:15 pm)
 • Evaluation forms and closure of meeting (12:30 pm)
 • Cooking demonstration (12:45 pm)
 • Lunch (13:00 pm)

 

 

BURN's Newsletter Sign Up